Wako wapi hawa ma-producer wa Bongo Flava?

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Salam.

Wako wapi maproducer wa bongo flava wa miaka ya hivi karbuni.

Wapi Marco Chali, Ramaa, Bob Jr na Sharobaro records, AM records, Man walker, jamaa mwingine wa Tetemesha records ya mwanza na wengine wengi.

Naomba kujua.
 
Unachokiuliza unakijua vizuri kweli? Au tukusaidie kuuliza swali vizuri ili lieleweke?
 
Wameshindwa kuendena na kasi mkuu ila wapo sana.
 
Uwanja wa Touch kwasasa acha ale muda wake.
 
Salam.

Wako wapi maproducer wa bongo flava wa miaka ya hivi karbuni.

Wapi Marco Chali, Ramaa, Bob Jr na Sharobaro records, AM records, Man walker, jamaa mwingine wa Tetemesha records ya mwanza na wengine wengi.

Naomba kujua.

Duu Mbona kama Majina Umeyakosea Sana.

Ramaa = Lamar
Man Walker = Man Water

Tetemesha Producer wake ni KIDBWAY alimtoa SAJNA
AM Records Producer ni Manecky.
 
saSa tuna new version producers...
S2KYZ
MR T TOUCH
BUNGALEE
DAX CHAL
NAREL
ABBAH
RUFAA
LAIZER
 
Marco chali alishaachana na production kamwachia mdogo wake dasco chali, Bob Jr yupo ila hasikiki tena kama zamani, Am records ipo chini ya Maneck akishirikiana na mdogo wake Bob maneck , man walker?? Au ulimanisha man Walter kama ni man Walter yupo na anafanya vizuri tu (seduce me,single, sweet melody) huyo jamaa wa tetemesha kid bway saivi yupo dar anafanya kazi na goodluck gozbert
 
Haitwi Walter ni Water aka Maji ,Jina lake alilopewa na wazazi wake ni Maji (Vomo).
 
Back
Top Bottom