Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,051
- 12,954
Salam.
Wako wapi maproducer wa bongo flava wa miaka ya hivi karbuni.
Wapi Marco Chali, Ramaa, Bob Jr na Sharobaro records, AM records, Man walker, jamaa mwingine wa Tetemesha records ya mwanza na wengine wengi.
Naomba kujua.
Mbeya×=BearTouch,S2kizzy,zest,Mbeya na Lufa ndo uwanja wao
Haitwi Walter ni Water aka Maji ,Jina lake alilopewa na wazazi wake ni Maji (Vomo).Marco chali alishaachana na production kamwachia mdogo wake dasco chali, Bob Jr yupo ila hasikiki tena kama zamani, Am records ipo chini ya Maneck akishirikiana na mdogo wake Bob maneck , man walker?? Au ulimanisha man Walter kama ni man Walter yupo na anafanya vizuri tu (seduce me,single, sweet melody) huyo jamaa wa tetemesha kid bway saivi yupo dar anafanya kazi na goodluck gozbert
Sawa mkuuHaitwi Walter ni Water aka Maji ,Jina lake alilopewa na wazazi wake ni Maji (Vomo).