Wako wapi hawa siku hizi?

Mokoyo

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2010
Posts
15,145
Reaction score
5,566
Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please

Mfano
Exaud Makyao
Kibunango
Josm
Sipo
Faith
Nyamayao
MTM

Na wengine wengi. Nilipenda michango yao. Wako wapi?
 
nafikiri watamekupata wataibuka soon!
 
Nimemmiss Nyamayao Jamani hasa kule kwenye jukwaa la mahaba
 
Mabosi wao wamewashtukia, wanatumia muda wa kazi kushinda jf, you can gues the rest.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…