Wako wapi hawa siku hizi?

Kuhani AKA Kuhani Mkuu,AKA Dillunga?
Pia Madela wa Madilu na avatar yake ya mwanzoni.
Yournameismine et al
 
Ukiona watu wamepotea, kuna mengi yanawakuta hasa sisi binadamu, hivyo tusishangae achalia mbali wanaingia kwa mgongo wa nyuma, Leo Nyamayao kesho pr------,.


haaa jamani mcjichanganye, FL unawachanganya watu humu, Preta ni Preta, Nyamayao ni Nyamayao, nilikuwa Babra nikarudia Nyamayao...hope nimeeleweka.
 
Sipo alisombwa na mafuriko ya Kilosa

ahaaaaa, nakumbuka dogo alianza kulalamika kwamba kuna watu wanamnyanyasa aisee

arudi apewe counseling aendeleze kijiwe
 
Kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please

Mfano
Exaud Makyao
Kibunango
Josm
Sipo
Faith
Nyamayao
MTM

Na wengine wengi. Nilipenda michango yao. Wako wapi?

Nipo mkuu, majukumu yamekuwa mengi, pia jukwaa letu lile la mambo ya ICT limedorora sana sijui watu wameichoka hiyo kazi au vipi?
 
ndege ya uchumi
Sipo
Carmel

wapi ninyi?
 
ndege ya uchumi
Sipo
Carmel

wapi ninyi?


huyomzee wa miale nilimsoma sana last week, wiki hii tu sijamuona ila sema naye ana bip tu na kusepa.............
 
Mzalendohalisi,susuviri,zalendohalisi,zemarcopolo,masatu,fairplayer....
 
mwafrika wa kike,fidel marshall..watu naowamiss sana hapa JF
 
Nipo mkuu, majukumu yamekuwa mengi, pia jukwaa letu lile la mambo ya ICT limedorora sana sijui watu wameichoka hiyo kazi au vipi?
Nice to see you man Josm! Nimefurahi saana!
Majukumu mema kaka
 
kuna members nilikuwa nawaona sana hapa na mada nzuri kabla sijawa member. Wako wapi siku hizi. Kwa wenye taarifa please

mfano
exaud makyao
kibunango
josm
sipo
faith
nyamayao
mtm

na wengine wengi. Nilipenda michango yao. Wako wapi?

wajameni,
mbona mimi hamniulizii?
Hakuna aliyenimiss?
Mbona nilidhani kuwa nami ni maarufu hapa?
Eh,
 
Omega Omega mbona wewe ni maarufu sana hapa, the issue ni kwamba huwezi kuwataja wote kwa pamoja. Karibu tena jamvini mwanawane:smile-big:
 
mie namtafuta Steve Dii
nani kanionea huyu mtu jamani!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…