Wako wapi hawa Wasanii?

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Huyu jamaa alikua anaitwa Cazy-T mwana wa komba alikua anawimbo amemshirikisha Sara unaitwa Nakuihitaji mpenzi wangu Nakuihitaji unaniita? Halafu na Yule jamaa alikua anaitwa Emmanuel Nkulila alikua ana wimbo unaitwa why can't you change your love for me
 
Caz-T kwa sasa ni mfanyabiashara anayemiliki Lodge nyingi (Naweza kuziita hivyo) huku Jimbo la Ukonga Daresalaam.

Nadhani kwa sasa yuko mbalimbali na biashara ya muziki.
 
Huyo Caz T si ndo alikuwaga anaishi na Dokii sa sijui wameambukizana nini naona kila mtu kafuata njia yake .. Na huyo caz T ndo kaamua kukaa kimya tu atafanyaje sasa na ndo yashakuwa!
 
Hakuna jinsi mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]najikuta nacheka tu kila nikiisoma hii comment yako
 
Huyo Caz T si ndo alikuwaga anaishi na Dokii sa sijui wameambukizana nini naona kila mtu kafuata njia yake .. Na huyo caz T ndo kaamua kukaa kimya tu atafanyaje sasa na ndo yashakuwa!
🙄🤔
 
Hivi ushawahi kuwa na godoro jembamba
Mpk ukilala usiku wa manane unaamka kupumzika?
 
Emmanuel Nkulila - Pain in Me natafuta sana huo wimbo yupo na PISI Kali ufukweni.(Nkulila yupo STATE - USA).

Caz-T na Sarah Bonge walifanya Shooting kwenye The Score Supermarket Posta.
 
Nkulila anaishi Los Angeles huko state, yupo bize na kazi naona muziki ameupa kisogo.
 
Emmanuel Nkulila - Pain in Me natafuta sana huo wimbo yupo na PISI Kali ufukweni.(Nkulila yupo STATE - USA).

Caz-T na Sarah Bonge walifanya Shooting kwenye The Score Supermarket Posta.
Emmanuel Nkulila - The Pain in Me iko YouTube mkuu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…