King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 10, 2014 #1 Umofia kwenu wana JF, Kuna watangazaji zaidi ya mie2 sijawasikia kwa hewa sijui wako wapi hawa?? 1.Suleiman Semunyu 2.Wasiwasi Mwabulambo.
Umofia kwenu wana JF, Kuna watangazaji zaidi ya mie2 sijawasikia kwa hewa sijui wako wapi hawa?? 1.Suleiman Semunyu 2.Wasiwasi Mwabulambo.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Jan 10, 2014 #2 wasiwasi nasikia yupo azam tv....
King Kong III JF-Expert Member Joined Oct 15, 2010 Posts 56,205 Reaction score 79,515 Jan 10, 2014 Thread starter #3 kabanga said: wasiwasi nasikia yupo azam tv.... Click to expand... Hongera zake mwabulambo ukiona watu wanakimbia sehemu wanazofanya kazi basi ujue umate umate unaenda hali jojo.
kabanga said: wasiwasi nasikia yupo azam tv.... Click to expand... Hongera zake mwabulambo ukiona watu wanakimbia sehemu wanazofanya kazi basi ujue umate umate unaenda hali jojo.