Mkuu wamehamia wapi? Ukweli ukiangalia profile za miaka ya karibuni utagundua watoto wengi. Bado tunaperuzi JF Great sinkers unawapuuzia wapo wengi hatari. Sometimes unasoma mada then you wonder hata hii admin wameiacha.Wamehama jukwaa baada ya JF kuvamiwa na "Great Sinkers"
Acheni kuzingua ...Mkuu wamehamia wapi? Ukweli ukiangalia profile za miaka ya karibuni utagundua watoto wengi. Bado tunaperuzi JF Great sinkers unawapuuzia wapo wengi hatari. Sometimes unasoma mada then you wonder hata hii admin wameiacha.
Wakati wakongwe wapo humu hawana lolote pumba tu. Twende tuakaangalie game ya yangaAcheni kuzingua ...
Sisi ni MAKAPUKU na underground co Great Sinkers...kwanza hatuna tabia ya kwenda General forums
Km hawapo ni kwa sababu zao binafsi acheni kutuchafua
[emoji102] [emoji102] [emoji102] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Half time ndo mama nipo hapaWakati wakongwe wapo humu hawana lolote pumba tu. Twende tuakaangalie game ya yanga
Vichwa maji Kabisa. Refa alikuwa anazingua sana aiseeHalf time ndo mama nipo hapa
Vichwa maandazi tu hawa ndo maana niliwachamba tena ni vinara wa kujaza Matakataka hapa jukwaani
Tishawatoa wale japo wamebebwaVichwa maji Kabisa. Refa alikuwa anazingua sana aisee
Wale wameshakaa tayari. Wakija Dar tutawafanyia undava tuTishawatoa wale japo wamebebwa
Hawana jeuri ya kutufunga wakija TMK