Wako wapi hawa watu?

Wako wapi hawa watu?

Mbepo yamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2012
Posts
1,262
Reaction score
1,773
Wazee wenzangu habarini na amani iwatawale

Ni muda kidogo umepita sijawaona humu jf kwenye majukwaa mbalimbali watu hawa.
Mzee Tupatupa
Ritz
Mwanakijiji
Jack Bauer (kama sijakosea uandishi wa jina lake)

Na wengine wote ambao ama michango yao kwenye nyuzi anuai humu au nyuzi wanazoanzisha wao ilikuwa moto sana.

Tuwatag na wengine waliopotea turejeshe ule ukali wa hoja kwenye majukwaa haya
 
Wamepewa asali wametulia

USSR
 
Tafuta hela wewe na ujali maisha yako.
 
Mzee tupatupa mara ya mwisho alikuwa Dodoma Kwa kazi maalum [emoji14][emoji14]
 
Back
Top Bottom