Mbepo yamba
JF-Expert Member
- Aug 5, 2012
- 1,262
- 1,773
Wamepewa asali wametuliaWazee wenzangu habarini na amani iwatawale
Ni muda kidogo umepita sijawaona humu jf kwenye majukwaa mbalimbali watu hawa.
Mzee Tupatupa
Ritz
Mwanakijiji
Jack Bauer (kama sijakosea uandishi wa jina lake)
Na wengine wote ambao ama michango yao kwenye nyuzi anuai humu au nyuzi wanazoanzisha wao ilikuwa moto sana.
Tuwatag na wengine waliopotea turejeshe ule ukali wa hoja kwenye majukwaa haya
Huyu mwamba kwa ukimya umenitisha kidogo. Asali twapaswa tule sote
Huyu mwamba muona mbaali sana
Tafuta hela wewe na ujali maisha yako.Wazee wenzangu habarini na amani iwatawale
Ni muda kidogo umepita sijawaona humu jf kwenye majukwaa mbalimbali watu hawa.
Mzee Tupatupa
Ritz
Mwanakijiji
Jack Bauer (kama sijakosea uandishi wa jina lake)
Na wengine wote ambao ama michango yao kwenye nyuzi anuai humu au nyuzi wanazoanzisha wao ilikuwa moto sana.
Tuwatag na wengine waliopotea turejeshe ule ukali wa hoja kwenye majukwaa haya
Huyu alikuwa moto sana kwenye updates mbalimbali
Daah! Amepotea sana Lara@lara1
Alikuwa na masimulizi ya hatari kama UMUGHAKADaah! Amepotea sana Lara