Wako wapi hawa?

Wako wapi hawa?

Vica

Member
Joined
May 27, 2008
Posts
84
Reaction score
12
Jamani Mimi ni mepnzi wa Michezo na Burudani pia . naomba mnisaidie nataka kujua wako wapi SULEIMAN MATOLA na Mish Bomba Bomba!
Manake siwasikii siku hizi. Matola toka ametoka Sout ndo kabisanasika alikuwa Azam.Na mish Bomba Bombna Je?Yule mtangazaji Machachari wa Redio!
 
Selemani matola ni kocha msaidizi SSC
 
Jamani Mimi ni mepnzi wa Michezo na Burudani pia . naomba mnisaidie nataka kujua wako wapi SULEIMAN MATOLA na Mish Bomba Bomba!
Manake siwasikii siku hizi. Matola toka ametoka Sout ndo kabisanasika alikuwa Azam.Na mish Bomba Bombna Je?Yule mtangazaji Machachari wa Redio!
Ndugu yangu pole sana, umesubiri miaka mingi sana kupata majibu.
Daa, Matola yuko Msimbazi kama kocha msaidizi.
 
Mish bomba yule wa ametoroka mpenzi wangu ya bizman.....yupo bombani anachota maji.
 
Back
Top Bottom