Dah aisee, kwamba baada ya miaka 13 ndo jamaa anapata reply ya kwanza? Dunia sio fair.Selemani matola ni kocha msaidizi SSC
Ndugu yangu pole sana, umesubiri miaka mingi sana kupata majibu.Jamani Mimi ni mepnzi wa Michezo na Burudani pia . naomba mnisaidie nataka kujua wako wapi SULEIMAN MATOLA na Mish Bomba Bomba!
Manake siwasikii siku hizi. Matola toka ametoka Sout ndo kabisanasika alikuwa Azam.Na mish Bomba Bombna Je?Yule mtangazaji Machachari wa Redio!
Utakuta huyo aliye reply ndio huyo huyo aliyeleta hiyo post...kifupi amejijibu na kufufua uzi.Dah aisee, kwamba baada ya miaka 13 ndo jamaa anapata reply ya kwanza? Dunia sio fair.
Sio kweliUtakuta huyo aliye reply ndio huyo huyo aliyeleta hiyo post...kifupi amejijibu na kufufua uzi.