tatizo letu bongo hatupo wazi na mambo yetu ya kibiashara , weee METL wana turn over ya zaidi ya 500m usd kwa mwaka , huyo bakhresa ndo balaa tupu , rostam na ma share yake wanatisha , lakini usisahau kwamba hizo ni estimate tu kwamba hawa watu wana worth kiasi fulani hata huyo dangote wameweza ku estimate hivyo kwa kuwa biashara zake zina trade kwenye stock exchange , wafanyabiashara wetu wa kibongo hawawezi fanya haya mambo .. eti bakhresa akauze share zake au METL , ndo maana hatujui hasa hawa owners wana utajiri gani , ila si kweli kwamba nichoka mbaya aiseee watu wana hela ndefu bongo sema kujificha kwingi