Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Mbona inajulikana mkuu.
Idea ilikuwa ya Juma Mchopanga alitaka amshirikishe huyo dogo FA na ndio huo wimbo wa kama unataka demu.
Dogo alivyo snitch akamzunguuka msela akaenda kutoka na hiyo mabinti.
Sema 'kama unataka demu' ya Jay Mo imesimama zaidi.
Sio kweli huyo dogo hakua vzr kiuchumi na umaarufu na J Mo alikua ameshatoka kimziki ivo FA alimshirikisha JMo wimbo Ingekua vipi...dogo akamfungulia Bunda za nyimbo zake Jmo akauona huyo wimbo wa mabinti,ivo akawahi kurekodi huku akibadili maudhuhi wa wimbo bila kuathiri wimbo wa FA huku akitaja majina tofauti na aliyoyataja FA....hapo ndo ikawa chanzo kutokua na maelewano na jmo kumbuka fa hapo anaishi kwa mama zakaria..huku jmo akiwa opposite kijitonyama ndo chanzo cha kujuana
 
Wakati huo nikiwa kijana, nilikuwa nakutana nao akina Fina Mango, Lady Jaydee, Seven, Amina Chifupa (r.i.p) wakiwa clouds, Ray C akiwa East Africa Radio.
Nakumbuka DJ wa Bilicanas enzi hizo ni DJ D white (sasa yupo Radio 1),na DJ Washington (RIP)
D white yupo uhai fm ya azam huko
 
Siku hizi mwanaume anacheza SUKARI na ANADAMBUA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi watu wananshangaa lol, khaaaah
 
Ray c, nampenda huyu mdada, ndo alienifanya nijue kuzungusha kiuno. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ule mwingine wa Joe Moe, KAMA UNATAKA DEMU UNATAKA AWEJE AWEJE na ule mwingine wa KATI YA MVUA NA JUA BORA NINI. Ahhh hii ndiyo BONGO FLAVOUR ORIGINAL, hizi kelele za wabana pua wa leo TUPA KULE
 
Siku hizi mwanaume anacheza SUKARI na ANADAMBUA
Kuna clip moja wanaume wapo kwenye harusi ya mwenzao duu wanashindana kukata viuno [emoji849][emoji849][emoji849] nilitamani kama ningekuwepo nifanye kazi ya kuwafunga kanga kabisa
 
Kuna clip moja wanaume wapo kwenye harusi ya mwenzao duu wanashindana kukata viuno [emoji849][emoji849][emoji849] nilitamani kama ningekuwepo nifanye kazi ya kuwafunga kanga kabisa
Dah! 😂
 
Zamani ilikua raha sana. Ngoma kali baada ya ngoma. Sichoki kusikiliza ngoma za wakulungwa mpaka leo. Jay Moe naumia sana kuhusu yeye.
Natamani ningekua na pesa za kuweza kuandaa tuzo maalum za wasanii wa kitambo wa Bongo Flavour/Hip-Hop.
 
Kuna clip moja wanaume wapo kwenye harusi ya mwenzao duu wanashindana kukata viuno [emoji849][emoji849][emoji849] nilitamani kama ningekuwepo nifanye kazi ya kuwafunga kanga kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona YouTube yaan yule wa 3 anacheza hadi kufinyia kwa ndani lol
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niliona YouTube yaan yule wa 3 anacheza hadi kufinyia kwa ndani lol
Haaaaaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] sasa hapo wanatoka mkewe si watu wanawanyooshea vidole kabisa mmmm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…