Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Si kweli mwana fa ndio alicheza faulo kama ukisikiliza nyimbo ya jay moe y mawazo kwenye album yake ya pili ya mawazo ya jay moe hilo jambo alilizungumzia vema
Na akasema mpaka album yake ya ulimwengu ndio mama ilicheleweshwa kuingia sokoni ili mwana fa auze kwanza
Kumbuka album iliingia sokoni miezi 3 baada ya uzinduzi pale diamond jubilee
Ambapo mwisho waliwekwa sawa wakasolve na kwenye hiyo album pia jaymoe akamshirikisha tena mwana fa kwenye nyimbo ya narudi shule
Huku fa akishrikisha kwenye nyimbo ya siend club
 
Wamekua mashangazi..last week nilikutana na Aminata ,maeneo ya Shoppers plaza
Wale wakina fifi walikuwa wanakaa makumbusho sijawaona kitambo sana
Walikuwa wakongo wale,wote wana viumbo vimodo
Kuna dada mmoja alitajwa naye mule
Anaitwa tausi lukokola naye,ila yeye anaishi usa....anakujaga bongo
Yuko njema sana

Ova
 
Popote ulipo Kibibi Bendera, nakupa salammmm...macho yako tu hayo mama!!

Mimi jirani yako wa Kwaminchi, miaka tisini na kenda [emoji4]
Umenikumbusha TA, mimi mtoto wa Nguvumali miaka ya late's 80
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…