Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Kuna mabinti wapo kamili kila idara:

-Familia bora
-Akili zisizo lala
-Maumbo bomba, na sura

Kuwapata ni full Gospel, wao ni ajira... na hawahitaji zaidi ya sera.
Ila mwana umecoment mistari wa hatari kwenye wimbo huu big up
 
Shose
Tausi Likokola
Ray C
Zay B
Fina
Aunt Ndina
Binti Maumba wa Kino
Mboni Mhita
Aminata Keita
Happy Magese
Mercy Galabawa
Kibibi
Faudhia
Radhia
Halima Bandawe
Seven
Miriam Ikoa
J moo sasa,kwenye wimbo wake kama unataka dem alivyoflow sifa za hawa mabint wa enzi hizo utatamani uwepo
 
Nguvumali ipi mzee?

maeno ya kwa marehemu Mchome karibu na jeshini, karibu na Ikulu, karibu na Kisosora, karibu na nyumba za bandari au karibu na Mwamboni?
Daah! Nimetoka mdogo nashindwa hata nikujibu vipi ila jirani na nyumba yetu kulikuwa na bar maarufu inaitwa kilimanjaro, hapo full KIUBATA au KIBISA, zikija kikundi cha sanaa cha bandari ilikuwa full kukesha, sokoni tulikuwa tunaenda majani mapana na hapo kati tulikuwa tunazipita nyumba za serikali wanakaa madon flan hivi nakumbuka mmoja wao alikuwa polisi anaitwa Mbaga
 
Hao ndio madem wa town enzi hizo za Eric Shigongo. Walikuwa maarufu lakini tulikula nao daladala za Mwenge kama Kawa na haina noma wala nini. Siku hizi maendeleo, hata Amber Rutty ana Chauffeur wake.
 

Most likely ulikuwa unaishi Nguvumali upande wa Gofu juu (Golf juu)
 
Hao ndio madem wa town enzi hizo za Eric Shigongo. Walikuwa maarufu lakini tulikula nao daladala za Mwenge kama Kawa na haina noma wala nini. Siku hizi maendeleo, hata Amber Rutty ana Chauffeur wake.
Maybach like that chauffeur, money ain't too far from Oprah's ,You should've seen what I paid my chauffeur.
 
Hivyo viajuza nilishachakaza viwili vitatu, kweli nguvu ni kitu cha kuisha
 
Kibibi alikua miss Tanga miaka ile na alikua anakaa Makumbusho,siku hizi yuko Mabibo na ana watoto wstatu au wanne alizaa na jamaa mmoja anaitwa Lucas
 
Wapo mbona,mfano mboni mahita,miriam odemba,kajala
 
Kumbeee lyrics tamu hivi. Dah asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…