Wako wapi mabinti waliotajwa na FA kwenye wimbo wa “Mabinti”?

Hii nyimbo ukiachana na mashairi mazuri, ilikuwa na beat kali sana
 
Halima bandawe yupo vodacom dodoma
 
Hizo ndio zilikua pisi Kali za wakati huo..na asilimia kubwa walikua ni familia Bora..
 
Haina ufagio tumeelewana (tumeelewana)

Watoto wanajua japo wanakana (woah)

Haina ufagio, ukielewa mwambie mwenzio

Haina ufagio....na hii ni kwa mtaa mzee

Daah... them golden days
...Najivisha ubwege ili yangu yaende...

...Usidhani naimba mapenzi ili ule mlupo unirudie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…