Wako wapi magaidi wa unyama huu wa ndugu yetu mwangosi?

Nyamigota

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
365
Reaction score
152
Wadau mimi ni Mtanganyika mwenye uzalendo wa kutosha wa Nchi yangu Tanganyika ambayo bila shaka kutokana na kukosa kutenda haki kwa utawala dhalimu unaoitawala Nchi yetu tangu uhuru yaani utawala dhalimu wa ccm umepelekea Nchu yetu kuishi katika laana kuu iwe ni kwa kulitambua hilo ama kutolitambua.

Niende kwenye lengo mahususi la uzi wangu, najiuliza maswali yafuatayo:-

  1. Kwanini kesi zinashughulikiwa na kuitwa za ugaidi ni zile zinazoihusidha Chadema pekee ili kuidhoofisha?
  2. Kwanini Kesi ya mwangosi, Ulimboka na Kibanda Maghaidi hawatafutwi na kufunguliwa kesi za Ugaidi?
  3. Kuhusu kesi ya mauaji ya Mwangosi huwezi kabisa kuitenganisha kamati ya siasa ya ccm Iringa ambayo Mkuu wa Mkoa Iringa huwezi kumtenganisha ambaye pia Kamhanda alikuwa muallikwa ambaye kwa misingi hiyo ndiye aliyepewa maelekezo yale ya kumuua Mwangosi na Viongozi wa Chadema akiwemo Dr. Slaa ambao waliokolewa tu na nguvu za Mwenyezi Mungu.

Wadau naomba kuwaulizeni kama matukio yanayohusisha ugaidi ni yale wanayozushiwa Chadema pekee.
 
Utaambiwa mchochezi sasa hivi!!!
 
IGP alisema hivi
"Suala la Mwangosi na Ulimboka ni SIRI ZA TAIFA!"
Ukitaka kujua nani anatunziwa siri, tafuta nani alimteua IGP!
 
Jibu pekee utalopewa kwa maswali yako, utaambiwa kesi zote zipo mahakamani hivyo hatuhitaji kuingilia uhuru wa mahakama.

  1. Kwanini kesi zinashughulikiwa na kuitwa za ugaidi ni zile zinazoihusidha Chadema pekee ili kuidhoofisha?
  2. Kwanini Kesi ya mwangosi, Ulimboka na Kibanda Maghaidi hawatafutwi na kufunguliwa kesi za Ugaidi?
 
Jibu pekee utalopewa kwa maswali yako, utaambiwa kesi zote zipo mahakamani hivyo hatuhitaji kuingilia uhuru wa mahakama.

Usa river.jpg

KWahiyo hata hili la aliye mchinja marekemu Msafiri Mbwambo (aliyekuwa mwenyekiti wa CDM kata ya USA river) ambapo mtuhumiwa alitoroshwa na polisi angali kesi ipo mahakamani, nalo itabidi tusiliongee angali mtuhumiwa hayupo tena mikononi mwa polisi?
 
Nimeanza kuwaza kitu

HIVI nini chanzo cha ugonjwa wa Robert Manumba...... na kwa nini tangu hiyo nafasi ikaimiwe na mtu kuna mambo ya ajabu

ni swali tu....
 
Magaidi wa unyama huo wote wameukata. wamepewa vyeo vipya! Sasa hivi wale walioratibu na kulipua bomu lililoua watu kule Arusha nao wanasubiri vyeo vyao. Wale wanaopiga, kuua na kupora watu kule Mtwara nao muda si mrefu utasikia wamepandishwa vyeo.
 
View attachment 99460

KWahiyo hata hili la aliye mchinja marekemu Msafiri Mbwambo (aliyekuwa mwenyekiti wa CDM kata ya USA river) ambapo mtuhumiwa alitoroshwa na polisi angali kesi ipo mahakamani, nalo itabidi tusiliongee angali mtuhumiwa hayupo tena mikononi mwa polisi?

Dah SIASA CHAFU NI HATARI SANA.....
 
Ndugu hii ndo Tanzania play by the rules and have a chance to see your grandson get married.... If you don't I believe everyone in here knows what will happen I think you won't even get married....... So keep that in your stubborn skull.......
 
wapo mmahakani kesi zinaendelea unatakaje waletwe nyumbani kawako
 
haya mambo mengine yanasikitisha, michezo ya kuigiza bila shaka.
 
Back
Top Bottom