babuzer
JF-Expert Member
- Feb 19, 2021
- 310
- 695
P diddy alikuwa ana marafiki wengi sana ambao alikuwa nao au alionekana nao kwenye party ambazo alikuwa akiziandaa kwenye nyumba zake za kifahari. Wengine alikuwa nao karibu sana mfano Jay Z. Ambae yeye mwenyewe p diddy alisema duniani watu pekee ambao wana ruhusiwa kumuita Sean ni Jay z na mama yake tu.
Ila toka balaa lim kumbe na feds kwenda kuvamia nyumba yake na kuchukua kila kitu kama sehemu ya ushahidi na kupiga pingu watoto wake hamna rafiki yake yoyote aliyetoka hadharani kumtetea au kupinga alicho fanyiwa.
Swali ni je kuna namna moja au nyingine wanahusika kwenye hizi shutuma maana wengi wao pia walikuwa wana hudhuria hizi parties?