Wako wapi marafiki wa Sean Combs A. K. A Puff Daddy?

babuzer

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2021
Posts
310
Reaction score
695
P diddy alikuwa ana marafiki wengi sana ambao alikuwa nao au alionekana nao kwenye party ambazo alikuwa akiziandaa kwenye nyumba zake za kifahari. Wengine alikuwa nao karibu sana mfano Jay Z. Ambae yeye mwenyewe p diddy alisema duniani watu pekee ambao wana ruhusiwa kumuita Sean ni Jay z na mama yake tu.

Ila toka balaa lim kumbe na feds kwenda kuvamia nyumba yake na kuchukua kila kitu kama sehemu ya ushahidi na kupiga pingu watoto wake hamna rafiki yake yoyote aliyetoka hadharani kumtetea au kupinga alicho fanyiwa.

Swali ni je kuna namna moja au nyingine wanahusika kwenye hizi shutuma maana wengi wao pia walikuwa wana hudhuria hizi parties?

 
Unawezaje jitokezakwa jitu chafu na lishenzy Kama Diddy?
Inavyoonekana wamesepa pia kwa sababu huenda walikuwa wana yaona hayo matukio na pia hawa kuya semea kokote au nao wali kuwa wana fanya nae. Au wana ogopa pia katika hivyo vitu vilivyo chukuliwa na feds huenda nao kuna uchafu wao naona hiii kesi itapita na majina makubwa ya watu weusi maarufu
 
Una uandishi mbovu.
 
Akifikishwa mahakamani watamtetea.
 
unaweza ona Jay ndiye mfanikishaji wa ndege binafsi kupata

Kingine silazima kuonekana unapompambania mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…