Wako wapi mastaa hawa siku hizi?

Nimemkumbuka Sylvia Bahame na Aminatha Keita hivi wako wapi jamani
 
kweli mikorogo ya jik na pitosin inachosha sana sura, mabinti wadooogo!!!
 
dokii..yupo ni muigizaji na pia ni mwanamziki(ali perfom kwenye kampeni za ccm kule igunga)..
 
hatimaye sasa katulia. huyo miss yupo sauzi anafundisha sekondari kuna kipindi nilimuona joburg akiwa amenenepa ova! Ustaa Bongo kazi kuu-maintain mkuu. Labda tujiulize kina SOGGY DOGGY, INSPEKTA HARUN, MR. NICE,FERUZI,JUMANNE IDDI wa BSS,MWINJUMA MUUMINI(Tam Tam), Waziri Sonyo, Keneth Mkapa, Stephen Nemes, (mawaziri wa Zamani) wapo wapi?
 
Tayari Mazee so muwe makini wapenda kuosha rungu bila kupima. CONFIRMED.
 
Duh wanabugia msosi utadhani wana safari za miguu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…