BOKIIY yupo katulizana hana jipya anajisikilizia maana ameshaanza , alitua Bongo na moto watu wakampampatikia hatimaye sasa katulia. huyo miss yupo sauzi anafundisha sekondari kuna kipindi nilimuona joburg akiwa amenenepa ova! Ustaa Bongo kazi kuu-maintain mkuu. Labda tujiulize kina SOGGY DOGGY, INSPEKTA HARUN, MR. NICE,FERUZI,JUMANNE IDDI wa BSS,MWINJUMA MUUMINI(Tam Tam), Waziri Sonyo, Keneth Mkapa, Stephen Nemes, WILLIAM KUSILA, ARCADO NTAGAZWA (mawaziri wa Zamani) wapo wapi?