mtoto wa afrikaa Member Joined Aug 8, 2016 Posts 98 Reaction score 81 Jan 12, 2017 #1 Ndugu zangu, Nilikuwa nahitaji kufahamishwa kwa mwenye kufahamu wapi walipo mawakala wa bidhaa za kielectronic za kampuni ya SONG SUNG katika mkoa wa Dar es Salaam. Ahsanteni
Ndugu zangu, Nilikuwa nahitaji kufahamishwa kwa mwenye kufahamu wapi walipo mawakala wa bidhaa za kielectronic za kampuni ya SONG SUNG katika mkoa wa Dar es Salaam. Ahsanteni
Chikuma Member Joined Dec 14, 2016 Posts 41 Reaction score 36 Jan 12, 2017 #2 kampuni haina wakala hiyo bongo
mtoto wa afrikaa Member Joined Aug 8, 2016 Posts 98 Reaction score 81 Jan 12, 2017 Thread starter #3 Shukran