Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Tupo naye X(twitter) 24/7Asha D ana kampuni yake sidhani kama anaweza drop ishu zote ili kuja kufanya umbea
Muite muite labda atakuja.Karucee mamaa wa kiota chetu pendwa cha Kabatini π, upo wapi kipenzi wewe?
Ewaaaaa!! Ni yeye. Sijui yuko wapi Tayta.Sio Tyta kweli?
ShebbydoKuna yule mtaalam wa mambo ya ndege na sector nzima ya aviation jina limenitoka
Ni Tyta uyoKulikuwa na mtu anaweka picha kwenye kila uzi, hata sikumbuki ID yake.
Hapana, ni barafu
Atakuwepo tu, nadhani hapa jf wakongwe wanajihadhari sana na vijana wa leoEwaaaaa!! Ni yeye. Sijui yuko wapi Tayta.
Kuna MTU nimemuona mahali!We Elli unacheka nini?