Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 28, 2011 #1 Hawa jamaa kutoka USSRwalikuwa balaa kwenye mchezo wa chess miaka ya mwisho ya 70 mapaka 80 na 90,sijui wako wapi na mchezo wenyewe naona umefifia.
Hawa jamaa kutoka USSRwalikuwa balaa kwenye mchezo wa chess miaka ya mwisho ya 70 mapaka 80 na 90,sijui wako wapi na mchezo wenyewe naona umefifia.
Mwana Mpotevu Platinum Member Joined Sep 7, 2011 Posts 3,295 Reaction score 2,501 Oct 29, 2011 #2 Google.com ipo kwa ajili ya kuwasaidia watu kama wewe wenye shida ya aina hiyo
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,248 Reaction score 13,244 Oct 29, 2011 Thread starter #3 Mwana Mpotevu said: Google.com ipo kwa ajili ya kuwasaidia watu kama wewe wenye shida ya aina hiyo Click to expand... Asante,lakini kuna habari ambazoi hazijaandikwa.
Mwana Mpotevu said: Google.com ipo kwa ajili ya kuwasaidia watu kama wewe wenye shida ya aina hiyo Click to expand... Asante,lakini kuna habari ambazoi hazijaandikwa.