Wako wapi TACAIDS na matangazo ya Fataki?

Wako wapi TACAIDS na matangazo ya Fataki?

Magoya2000

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2017
Posts
633
Reaction score
1,256
Habari za jpili!

Miaka ya nyuma TACAIDS walikuwa mstari wa mbele kufanya harakati za mapambano ya maambukizo mapya ya hiv. Kwa namna moja au nyingine ilisaidia mabinti kuogopa Mafataki.

Leo hii hamna harakati zozote tena Mafataki ndiyo wamekuwa maarufu maana ndiyo Madanga ya ukweli. Mabinti wanaenda hadi kwa waganga ili kuwapumbaza Madanga (Fataki).

HIV haizungumziwi tena, watu tunauza team balaa. Ujauzito nao umepata mbadala yaani P2. Vijana tuwe makini hali sio nzuri, watu wameoza, watundu yote yametumika. Hakuna jipya! Tumpende maisha yetu na maisha yatatupenda!
 
Back
Top Bottom