wako wapi TNG squard?

Lavit

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2011
Posts
14,834
Reaction score
32,522
nakumbuka hawa jamaa walisumbua sana na "bongo.com" na "like that" pia...nani mwenye habari za hawa jamaa mcli na "black twins" waliojitoa?
 
jamaa walikuwa wanatisha sana aisee! sijui wako wapi majembe...
 
nakumbuka hawa jamaa walisumbua sana na "bongo.com" na "like that" pia...nani mwenye habari za hawa jamaa mcli na "black twins" waliojitoa?

Hizo Zote mchumba,
Kitu kilikua "Ring on It"
 
TNG wapo,kuna Jamaa m1 yule aliyepiga chorus ya bongo.com tunakimbiza kabisa nachoka kabisa kawa producer na manger wa bongo movie,Ametangaza nia ya kumuoa Rose Ndauka na sasa ni wachumba.
 
kaonyesha ujasiri!!manake....anyway!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…