Wako wapi wa kale

Wako wapi wa kale

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,753
Reaction score
9,575
Habari wadau wa JF

NAWAULIZIA MALEGENDARY JAMANI

Nawasaka wale wenzangu na mm tuliokuwa tukileta mada hapa naona kuko kimya sana wako wapi wa le wa kale jamani akina Mtambuzi , KakaKiiza , snowhite , @Jfsonwin, CharmingLady , Passion Lady , Watu8 , Lady doctor, Khantwe [huyu yupo kidogo], Paloma, Mentor Iron Lady ,Arushaone , Mamndenyi , Madame B , Filipo , Erickb52 , Mweeee ni wengi na wengine wameshabadilisha maID yao njooni kwa ID zamani tulianzishe Dude YAANI MTOOOOO mmepoa sana nimewakumbuka enzi zile za hapa leo tupo mkuje
 
habari wadau wa jf

nawasaka wale wenzangu na mm tuliokuwa tukileta mada hapa naona kuko kimya sana wako wapi wa le wa kale jamani akina Mtambuzi , KakaKiiza , snowhite , @Jfsonwin, CharmingLady , Passion Lady , Watu8 , Lady doctor, Khantwe [huyu yupo kidogo], Paloma, Mentor Iron Lady ,Arushaone , Mamndenyi , Madame B , Filipo , Erickb52 , mweeee ni wengi na wengine wameshabadilisha maID yao njooni kwa ID zamani tulianzishe Dude YAANI MTOOOOO mmepoa sana nimewakumbuka enzi zile za hapa leo tupo
Mbona hujanitaja?

Bazazi
 
Naona aliyenyoosha ni mmoja tu. Tuelezane kama hao wengine wamesha RIP au? Maana sisi wengine tunatembea na pilipili zetu mifukoni, just in case.
 
Back
Top Bottom