ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,753
- 9,575
Mbona hujanitaja?habari wadau wa jf
nawasaka wale wenzangu na mm tuliokuwa tukileta mada hapa naona kuko kimya sana wako wapi wa le wa kale jamani akina Mtambuzi , KakaKiiza , snowhite , @Jfsonwin, CharmingLady , Passion Lady , Watu8 , Lady doctor, Khantwe [huyu yupo kidogo], Paloma, Mentor Iron Lady ,Arushaone , Mamndenyi , Madame B , Filipo , Erickb52 , mweeee ni wengi na wengine wameshabadilisha maID yao njooni kwa ID zamani tulianzishe Dude YAANI MTOOOOO mmepoa sana nimewakumbuka enzi zile za hapa leo tupo
Naona aliyenyoosha ni mmoja tu. Tuelezane kama hao wengine wamesha RIP au? Maana sisi wengine tunatembea na pilipili zetu mifukoni, just in case.habari wadau wa jf
nawasaka wale wenzangu na mm tuliokuwa tukileta mada hapa naona kuko kimya sana wako wapi wa le wa kale jamani akina Mtambuzi , KakaKiiza , snowhite , @Jfsonwin, CharmingLady , Passion Lady , Watu8 , Lady doctor, Khantwe [huyu yupo kidogo], Paloma, Mentor Iron Lady ,Arushaone , Mamndenyi , Madame B , Filipo , Erickb52 , mweeee ni wengi na wengine wameshabadilisha maID yao njooni kwa ID zamani tulianzishe Dude YAANI MTOOOOO mmepoa sana nimewakumbuka enzi zile za hapa leo tupo
naona wakale wamegoma kuingia humu wengine wamebadili gia angani (wako na ID mpya) hahaaaaaaaMimi nipo sana mwenza sipo kidogo
km ulivyosema bestitoWengi wana ID mpya
Ohoo sorry mkuu jamani kwani na wewe ni legendary wa jf hapa?Mbona hujanitaja?
Bazazi