BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hawa wabunge huwezi wasikia kwenye swala lolote la kutetea Wasai wenzao wanao taabika na wanao kuwa wakimbizi chini ya utawala wa kikaburu wa CCM, hawa wanangoja vipindi vya kampeni vifike wakawadanganye wamasai wenzao na kuwalisha nyama ili wawapigie kura tena.
Hawa wabunge huu ulikuwa ni wakati wa kusimama na Ndugu zao wa Ngorongoro wao tawaliwa ba Mwarabu, ila hawaonekani kabisa na huwezi wasikia kabisa kwa lolote lile lile.
Haiwezekani ndugu zenu wanataabishwa kwe ye makazi yao ya asili na nyie mko kimya mnakula na watesi,
Ngorongoro ndugu zenu wanapelekwa uhamishinia nyie mpo, Mshukuru pia mnaongoza watu wasio jitambua
Soma Pia:
Acheni kula na watesi wa ndugu zenu.

- Polisi wazuia maandamano ya wamasai Ngorongoro kupinga kunyimwa haki ya kupiga kura
- Wamasai wa Ngorongoro watoa tamko kunyang'anywa haki ya kupiga kura 2024 na 2025
Acheni kula na watesi wa ndugu zenu.