mpimamstaafu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2018
- 4,445
- 4,707
Mungu awape pumziko Elisha John na Yanga fadhiri BwangaMalota Soma yupo na taxi yake pale Magomeni Usalama, Mohamed Bakari Tall aliwahi kua mwalimu wa michezo shule ya Yemen Dar, Elisha John na Yanga Fadhili Bwanga walishatangulia mbele za haki
Aamin. Ingawa hawa wachezaji walicheza katika vipindi viwili tofauti. Wakati Yanga Fadhili Bwanga alivuma miaka ya 1970s akiwa Dar Young Africans, Elisha John alitingisha miaka ya mwanzo ya 1980s akitokea Coastal Union kwenda Simba SC kisha Young AfricansMungu awape pumziko Elisha John na Yanga fadhiri Bwanga
Kama sijasahau Hutu Elisha John alipoenda Yanga wachezaji wenzake kama unavyosema walimgomea mpaka ndani ya uwanja wakitaka kila kitu afanye yeye kisa amenunuliwa kwa bei kubwa,sikumbuki aliondokaje Yanga kurudi Coastal unionAamin. Ingawa hawa wachezaji walicheza katika vipindi viwili tofauti. Wakati Yanga Fadhili Bwanga alivuma miaka ya 1970s akiwa Dar Young Africans, Elisha John alitingisha miaka ya mwanzo ya 1980s akitokea Coastal Union kwenda Simba SC kisha Young Africans
Usajili wa Elisha John kutoka Simba kwenda Yanga ulivunja rekodi ya fedha ya uhamisho pamoja na kwamba soka lilikuwa la ridhaa wakati huo huku akiwa analipwa mshahara mnono tofauti na wenzie kitendo kilicholeta mtafaruku kwenye timu ikiwepo kuletwa mgomo baridi miongoni mwa wachezaji wengine
Nakumbuka Usajili wa Ezekiel Greyson ulileta mgogoro mkubwa haina ya Simba na YangaMalota Soma yupo na taxi yake pale Magomeni Usalama, Mohamed Bakari Tall aliwahi kua mwalimu wa michezo shule ya Yemen Dar, Elisha John na Yanga Fadhili Bwanga walishatangulia mbele za haki
Ezekiel Grayson "Jujuman" ndiye baba mzazi wa Aunty EzekielNakumbuka Usajili wa Ezekiel Greyson ulileta mgogoro mkubwa haina ya Simba na Yanga
Kama sijasahau Hutu Elisha John alipoenda Yanga wachezaji wenzake kama unavyosema walimgomea mpaka ndani ya uwanja wakitaka kila kitu afanye yeye kisa amenunuliwa kwa bei kubwa,sikumbuki aliondokaje Yanga kurudi Coastal union
Kuna mchezaji alikuwa anachezea Simba anaitwa Aluu Ally je kwa sasa yupo wapi?Hakucheza sana maana kiwango chake kilishuka sana baada ya uhamisho huo kwani inasemekana hata wazee wa Coast hawakumpa baraka kwa hiyo kuna mambo ya miba yaliendelea
P
Aluu Ally alicheza na kina Omar Mahadhi Bin Jabir, Mwinyi Kidekeo, Filbert Rubibira, Adam Sabu, Thuweni Ally, George Kulagwa na wengineoKuna mchezaji alikuwa anachezea Simba anaitwa Aluu Ally je kwa sasa yupo wapi?
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Mungu awape pumziko Elisha John na Yanga fadhiri Bwanga
Aluu Ally alitokea Morogoro na alichukuliwa na Simba akiwa anasoma kidato cha tatu ktk shule ya Forest hill.Alikuwa zao la umiseta na klabu ya Jogoo na alipojiunga na Simba 1976 aliendelea na masomo yake pale Azania.Alipomaliza kidato cha nne alitimkia zake Uarabuni ambako kipindi hicho kilikuwa wimbi la wachezaji wengi kukimbilia Uarabuni. Simba ikawapoteza kina Yusuf Kaungu, Shaban Baraza, Haidari Abeid, Khalid Abeid,Lumelezi,Thuweni Ally, Kikwa, Mustapha,Innocent Haule, huku Yanga ikiwapoteza kina Yanga Bwanga na Pan Africa ikwapoteza kina Bona Max, Kassim Manara, Adolf Rishard na wachezaji wengine wamenitokaAl
Aluu Ally alicheza na kina Omar Mahadhi Bin Jabir, Mwinyi Kidekeo, Filbert Rubibira, Adam Sabu, Thuweni Ally, George Kulagwa na wengineo
Kwavyovyote kama atakua hai basi umri utakua umekwenda sana kama au zaidi ya kina Leodger Tenga, ila yuko wapi na anafanya nini kwasasa kwakweli sina taarifa zake
Aluu Ally alitokea Morogoro na alichukuliwa na Simba akiwa anasoma kidato cha tatu ktk shule ya Forest hill.Alikuwa zao la umiseta na klabu ya Jogoo na alipojiunga na Simba 1976 aliendelea na masomo yake pale Azania.Alipomaliza kidato cha nne alitimkia zake Uarabuni ambako kipindi hicho kilikuwa wimbi la wachezaji wengi kukimbilia Uarabuni. Simba ikawapoteza kina Yusuf Kaungu, Shaban Baraza, Haidari Abeid, Khalid Abeid,Lumelezi,Thuweni Ally, Kikwa, Mustapha,Innocent Haule, huku Yanga ikiwapoteza kina Yanga Bwanga na Pan Africa ikwapoteza kina Bona Max, Kassim Manara, Adolf Rishard na wachezaji wengine wamenitoka
Mbona umemsahau DOTTO RUTA MOKILI?Wanamichezo wote nawasalimu,pamoja na salamu zangu naomba kujua walipo wachezaji wafuatao:
1. Malota soma-Simba
2. Juma Kampala-Yanga
3. Mohamed Bakari Tall-Simba
4. Idd Seleman Mayor-Simba
5. Yanga Bwanga-Yanga
6. Elisha John-Yanga
Hakika wachezaji hawa ni miongoni mwa wachezaji bora katika taifa letu
Nakummbuka nikiwa UAE miaka ya 1998-2002 alikuwa naye akiwa Sharijah, UAE. Kutokea kipindi hicho sina taarifa zake na hata hii ya Yanga Bwanga kutangulia mbele za haki nimefahamia humu JF sports.Yusuf Kaungu Kwa sasa yupo wapi?
Nakummbuka nikiwa UAE miaka ya 1998-2002 alikuwa naye akiwa Sharijah, UAE. Kutokea kipindi hicho sina taarifa zake na hata hii ya Yanga Bwanga kutangulia mbele za haki nimefahamia humu JF sports.