WAKO WAPI WACHEZAJI HAWA "YANGA BWANGA,ALUU ALLY Na MARTIN KIKWA

WAKO WAPI WACHEZAJI HAWA "YANGA BWANGA,ALUU ALLY Na MARTIN KIKWA

mastersajenti

Senior Member
Joined
Dec 4, 2015
Posts
165
Reaction score
24
Wadau ninaomba Mwenye historian fupi ya wachezaji hao toka wameacha kucheza mpira.Wako wapi Na wanafanya nini
 
Yanga Bwanga yupo Falme za Kiarabu
Alu Ali Mara ya mwisho alikuwa Tanga sijui kwa sasa yupo wapi
Martin Kikwa ameshafariki kitambo kidogo
 
Da.. Umenikumbusha pia kipindi naanza kuipenda simba kina mavumbi Omar ,twaha hamidu, Hassan hafif
 
Yangu yuko abudhabi . Amestaafu kazi na mpira.
Aluu Ali pia abudhabi bado coach wa timu ya al wahda ya chekechea. Mwanawe alikuwa maarufu national team ya UAE haidar Aluu Ali .
Na haidar obeid yuko pia uae mji wa sharjah ..
Kibonye alikuwa hapa .Alirudi tz marehemu. Habib kaungu yuko Al ain alichezea Al Ain club .
Hassan mlakapolo alikuwa sharjah amerudi morogoro. Isha kibene amefariki alikuwa team ya sharjah .shabaan baraza alikuwa sharjah amerudi zamani tz. Daaa wakati umepita
 
Asante Mkuu kwa kutujulisha ila huyo sio Habibu ni Marehemu Yusuf Kaungu
 
Ni sawa sawa umenikumbusha hapa alikuwa akiitwa habib yusuf .Inna lilahi wa inna ilaihi rajiuun. Sikujua kama amesha tutoka.
 
Yanga Bwanga yupo Falme za KiarabuAlu Ali Mara ya mwisho alikuwa Tanga sijui kwa sasa yupo wapiMartin Kikwa ameshafariki kitambo kidogo
Mkuu, aksante kwa 'updates'.
 
Back
Top Bottom