mastersajenti
Senior Member
- Dec 4, 2015
- 165
- 24
Asante Mkuu kwa kutujulisha ila huyo sio Habibu ni Marehemu Yusuf KaunguYangu yuko abudhabi . Amestaafu kazi na mpira.
Aluu Ali pia abudhabi bado coach wa timu ya al wahda ya chekechea. Mwanawe alikuwa maarufu national team ya UAE haidar Aluu Ali .
Na haidar obeid yuko pia uae mji wa sharjah ..
Kibonye alikuwa hapa .Alirudi tz marehemu. Habib kaungu yuko Al ain alichezea Al Ain club .
Hassan mlakapolo alikuwa sharjah amerudi morogoro. Isha kibene amefariki alikuwa team ya sharjah .shabaan baraza alikuwa sharjah amerudi zamani tz. Daaa wakati umepita
Mkuu, aksante kwa 'updates'.Yanga Bwanga yupo Falme za KiarabuAlu Ali Mara ya mwisho alikuwa Tanga sijui kwa sasa yupo wapiMartin Kikwa ameshafariki kitambo kidogo