SHIEKA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,240
- 4,265
Hawa wadada wawili waliunda kukundi kilichoitwa Unique Sisters. Kwa majina kama nakumbuka
ni Razia na Rahma Kipoozi. Wadada hawa waling'ara sana miaka ya 1985-1990 hivi.
Vibao vyao sivikumbuki vizuri ila nakumbuka sana walivyokuwa machachari kwenye video zao.
Kwa muda mrefu sana sijawasikia. Wamesambaratika au vipi kwa anayewajua, na wako wapi na wanafanya
nini?