Hawa wadada wawili waliunda kukundi kilichoitwa Unique Sisters. Kwa majina kama nakumbuka
ni Razia na Rahma Kipoozi. Wadada hawa waling'ara sana miaka ya 1985-1990 hivi.
Vibao vyao sivikumbuki vizuri ila nakumbuka sana walivyokuwa machachari kwenye video zao.
Kwa muda mrefu sana sijawasikia. Wamesambaratika au vipi kwa anayewajua, na wako wapi na wanafanya
nini?
Walikuwa wa3, si wale watoto wa Kipozi!
Sasa hvi 2 wanaishi Manzense kwa mfuga Wow!
Hawa wadada wawili waliunda kukundi kilichoitwa Unique Sisters. Kwa majina kama nakumbuka
ni Razia na Rahma Kipoozi. Wadada hawa waling'ara sana miaka ya 1985-1990 hivi.
Vibao vyao sivikumbuki vizuri ila nakumbuka sana walivyokuwa machachari kwenye video zao.
Kwa muda mrefu sana sijawasikia. Wamesambaratika au vipi kwa anayewajua, na wako wapi na wanafanya
nini?
Hawa wadada wawili waliunda kukundi kilichoitwa Unique Sisters. Kwa majina kama nakumbuka
ni Razia na Rahma Kipoozi. Wadada hawa waling'ara sana miaka ya 1985-1990 hivi.
Vibao vyao sivikumbuki vizuri ila nakumbuka sana walivyokuwa machachari kwenye video zao.
Kwa muda mrefu sana sijawasikia. Wamesambaratika au vipi kwa anayewajua, na wako wapi na wanafanya
nini?
Radhia yupo pale sayansi katika lile jengo la science na technologia yupo katika kampuni moja ya IT inaitwa envaya(ina office mule) ana cheo kikubwa kidogo katika hio kampuni..kwa tetesi kutoka kwa mdau wangu ambae anafanya kazi pale huyo radhia ni kimada wa huyo mwenye kampuni(mmarekani anaitwa joshua stern)
Philip Dominick, kama umesoma post yangu vizuri itaona kwamba vitu vingi sikuwa na uhakika navyo, hasa hiyo miaka.muzikh. wamefanya kipndi cha 1999-2003
hyo 85-90 umetudanganya mkuu
hongera zake,hasa kwa kummliki huyo mwenye hiyo kampuni