Rahma, Radhia na Radhina
Walianza kuimba Rahma & Radhia na kaka yao Ibra wakiwa pamoja na kundi la G'z Mobb lililokuwa na msanii Gerad Siri a.k.a G-Solo.
Nyimbo yao kwanza kuitoa ni Tucheke na tucheze tufurahi 1996.
Video yake ilifanyika CBE dodoma, Area C' eneo la wajenzi.
Itaendelea.............................
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums