Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
habari za jumapili wana jamvi.hiki kundi la wanamuziki lililotamba kwa jina la wagosi wa kaya na nyimbo zao kama ;tanga kunani pale,walimu,wauguzi na trafic ..wako wapi vijana hawa mana walikuwa wanaimba nyimbo zenye ujumbe wa hali ya juu..