Wako wapi Wagosi wa kaya

ladyisa

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2014
Posts
660
Reaction score
148
habari za jumapili wana jamvi.hiki kundi la wanamuziki lililotamba kwa jina la wagosi wa kaya na nyimbo zao kama ;tanga kunani pale,walimu,wauguzi na trafic ..wako wapi vijana hawa mana walikuwa wanaimba nyimbo zenye ujumbe wa hali ya juu..
 
Kwa sasa sio vijana tena wameshakuwa madingi.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…