Wako wapi wakuda waliotuombea mabaya?

cha1509

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
258
Reaction score
402
Eti underdog,
Simba ni mnyama wa mwituni, akikosa nyama hula hata majani,
Nani aliyepinga kuwa Simba hawaingii hatua ya robo fainali?

Yuko huyo zahera? Timu yake imelipuliwa na lipuli huko uwanja was CCM samora,
Huku wakongo wenzake tumenyonyoa two one, na ole wenu tumewakosakosa, tungewapiga wiki leo! Sema tumewahurumia kwa kuwa soka ni urafiki!

Tulijifunza kwa Js Soura, tulimpiga tatu benchi zima likatimuliwa! Sasa hatutaki haya yawakute wakongomani kwa sababu Hawa n jirani zetu,

Poleni Sana yanga, poleni A's Vita, pole Sana zahera! This is Simba bwana! Do or Die DONE.

Heko kwa Patrick, heko kwa Simba, cc chama, boko, niyonzima na wengine woteeee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yupo wapi Mku..da Shafiiii Mbauuuda, Yukp Mku.d.a Mwinyi Zapesa, Yuko wapi M-ukuda Nanihinnoo. Manina zenu THIS IS SIMBA haijawahi kumwacha mtu Salama Dimbani kwa Mhe.Nkappa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…