Chris Lukosi
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 4,583
- 2,944
Ndugu zanguni,
Nimeshangazwa sana na ukimya wa hawa jamaa zetu ambao kila kukicha walikuwa wakiandamana na vidumu vya tindikali wakidai kujitenga na kuwa hawautaki muungano, mara ooh watanganyika machogo tunawang'ang'ania , mara ooh hawatutaki huko kwenye swamp yao. Lakini cha kushangaza sasa tume ya katiba imewafungulia milango wachomoke hatuwaoni, wameuchuna kimyaa, kama hawapo bungeni vile.
Mimi kwa kifupi nashindwa kabisa kuwaelewa hawa jamaa zetu. Kuna kipindi ulikuwa ukikutana nao hata bara au mitaani stori ni kujitenga tu utafikiri wamefungwa. Sasa na sisi watanganyika tumechoka tumewaonyesha jinsi tulivyochoshwa na huu muungano wa tembo na sisimizi mnyonyaji. Tunawaambia wajitenge badala yake wanaanza kurembua macho.
Wapi yale matusi waliyokuwa wakikesha kututukana humu na mitaani? wapi vidumu vya tindikali? wapi mapovu?
WAZANZIBARI TUMIENI MUDA HUU KUCHUKUA TALAKA YENU, TENA TALAKA TATU MUANZE..
TUMECHOKA!
https://www.facebook.com/photo.php?v=640656519317319&set=vb.100001189291607&type=2&theater