Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

Christopher Wallace

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,479
Reaction score
3,788
Je walistaafu? Je walipangiwa majukumu mengine kama inavyotokeaaga kwa wanasiasa? Sio mbaya kujua walipo Watanzania wenzetu
 
Si tuliambiwa na yule jamaa kwamba nao walikufa kwa corona!
 
Huyu hapa mmoja
JamiiForums-400231988.jpg
 
Walinzi wa Msoga ndio walikula good time. Hawa wa JPM safari za Chato-Dom, Dar na Mikoani tu.
 
Huyo Mwamba Sebastian anaishi kwenye zile nyumba za mawaziri Mikocheni, naonana nae mara nyingi tu akiwa na gari yake Jeep new modern au mara nyingine MBW. Ukimuangalia tu anafunga vioo maana anapenda sana kuendesha kioo kimoja cha upande wake kikiwa nusu. Na siku hizi kule hawaruhusiwi watu kupita, unaishia pale CRDB bank halafu wameweka geti na walinzi
 
Back
Top Bottom