Huyu mwamba kwenye picha aloo alikua njema sana alaf alikua makini kama ushahudhuria mikutano ya jpm jamaa alikua indetail ukijigusa vibaya tu ashakutupia jicho kuna siku nilimsumbua sana mpka nikasepa ananikazia jicho tu