Wako wapi wana CCM jasiri?

Wako wapi wana CCM jasiri?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2008
Posts
1,246
Reaction score
402
Nakumbuka miaka iliyopita Mwl. Nyerere alisimama na kuwanyooshea kidole watawala wa CCM na serikali kwa kuiingiza nchi kwenye OIC na pia alishawahi kumnyooshea kidole fisadi Lowasa alipotaka kugombea uraisi.
Hivi siku hizi wenye ujasiri huo ndani ya CCM wako wapi? Alitokea Hans Kitine akasema CCM imekosa mwelekeo akashukiwa na nyundo kadhaa moja wapo ya mzee wetu mmoja aliyesema ' huyu (Kitine)anataka kutoboa meli yetu tukiwa bado kilindini anastahili kutoswa'
 
Back
Top Bottom