Mkuu chonde chonde hiyo ngoma MAKARATEE kama ukiipata naomba uimwage hapa,ni ngoma moja nilikuwa naipenda sana,natanguliza shukrani mkuuWadau sina shaka mnawakumbuka hawa jamaa, Kwa kiasi kikumbwa neno makaratee( mitikasi) walilifanya maarufu kutokana wimbo wao wa MAKARATEE mwanzoni mwa miaka ya 2000. Hawa jamaa wako wapi? Kwa zaidi ya miaka 14 imekuwa nadra sana kuusikia huu wimbo hewani. Nakumbuka verse ya kwanza imeimbwa na Jini Jeshi kama kumbukumbu zangu ziko sahii···· verse 1. Kuna sehem jamaa anaema.........kama naniwe we uvamiwe ulete mawenge upigwe kijiwe,wee we utolewe machungu mmoja wao kiwanja niwe.....Tukumbushane wadau....kama mtu ana link auweke ule wimbo hapa tujikumbushe
"Eyoh eyoh makaratee hey u know makaratee,nikipata visa unyamwezini naingia ova stay" kitu kama hichoUkipata ngoma yao ntumie lilikuwa bonge la ngoma. ..maskani live mke wa mtu kaukalia. .maji ya ugoko kuna verse ya dogo kama msomali alikuwa hatari
Yaani ile ngoma ulikuwa noma sanahahah mkuu nimekubali yaani zile part muhimu zote unazikumbuka,niliwahi kusikia jamaa alitembea Usa,na naamini ameoverstay
HahAaaa"Eyoh eyoh makaratee hey u know makaratee,nikipata visa unyamwezini naingia ova stay" kitu kama hicho
makaratee hey you know makaratee napiga mikito mingi mishiko watu hey hey,nacheza hip hop weusi fyatu bongo hatuenei nina vichwa vitatu venye ghazabu cape au bombay....lal la la la......mi nunda kamanda wa jeshi,nifanye nini niepukane na kesi,kesi kwangu ni kubwa makaratee yameshadunda,nyuki fumuka,famba mitumba............daah yaani mistari inakuja kisha inapotea....kweli utu uzima una mengiYaani ile ngoma ulikuwa noma sana
Kaka salama? Huu wimbo uliupata? Nautafuta aiseeWadau sina shaka mnawakumbuka hawa jamaa, Kwa kiasi kikumbwa neno makaratee( mitikasi) walilifanya maarufu kutokana wimbo wao wa MAKARATEE mwanzoni mwa miaka ya 2000. Hawa jamaa wako wapi? Kwa zaidi ya miaka 14 imekuwa nadra sana kuusikia huu wimbo hewani. Nakumbuka verse ya kwanza imeimbwa na Jini Jeshi kama kumbukumbu zangu ziko sahii···· verse 1. Kuna sehem jamaa anaema.........kama naniwe we uvamiwe ulete mawenge upigwe kijiwe,wee we utolewe machungu mmoja wao kiwanja niwe.....Tukumbushane wadau....kama mtu ana link auweke ule wimbo hapa tujikumbushe
Wewe lazima masela walishawai kukufanyia shambulio la aibu. Haupo sawa psychologically.Hao wavuta bange ndio walifanya Bongo Flava ionekani muziki wa kiuni.
shukrani kwa Profesa Jay aliekuja kuleta mabadiliko...
Asante kwa Dully Sykes bila Ujumbe wa Salome mpaka Leo hawa wahuni wangeendelea kutamba vijiweni.
makaratee hey you know makaratee napiga mikito mingi mishiko watu hey hey,nacheza hip hop weusi fyatu bongo hatuenei nina vichwa vitatu venye ghazabu cape au bombay....lal la la la......mi nunda kamanda wa jeshi,nifanye nini niepukane na kesi,kesi kwangu ni kubwa makaratee yameshadunda,nyuki fumuka,famba mitumba............daah yaani mistari inakuja kisha inapotea....kweli utu uzima una mengi
Da nazitafuta sana hizi ngoma sijui niende wapi?Za kichnachna za kichnachna uwaaa!