Daktari wa Manchester
JF-Expert Member
- Jun 1, 2020
- 350
- 403
Ethiopia imewahi kutawaliwa na Italy ijapokuwa kwa kipindi kifupi. Ni enzi za Mussolini.Tungekua kama Ethiopia ambayo haijawahi kutawaliwa...
unataka kusema kwamba tungekua sawa hata kwenye suala la kiuchumi , maana wametuacha parefu sanaTungekua kama Ethiopia ambayo haijawahi kutawaliwa.
si kweliEthiopia imewahi kutawaliwa na Italy ijapokuwa kwa kipindi kifupi. Ni enzi za Mussolini.
soma historia kijana hata kwenye youtube tu. Ni enzi za Mussolini.si kweli