Wakoloni walijali kuongeza mshahara kila mwaka

Wakoloni walijali kuongeza mshahara kila mwaka

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Maneno ya Shaaban Robert kwenye kitabu Maisha yangu na baada ya miaka hamsini.

IDARA YA FORODHA

SASA katika kazi ya ukarani nilikuwa mimekwisha kutimiza miaka kumi katika idara hii. Mshahara wangu wa shilingi sitini
kwa mwezi nilioanzia kazi sasa ulikuwa umezidi mara mbili kwa sababu kila mwaka nilipata maongezo yangu pasipo zuio.
 
Back
Top Bottom