Wakongwe Forum

Wewe ushapita sasa unawaunganishia wasukuma wenzio au sio..

Dah...Mangi mbona unapenda sana kunisingizia mambo lakini?

Mi nimepita lini hapo?

Sijawahi kabisa kupitia hapo hata siku moja achilia mbali kufikiria.

Ushamwona alivyo lakini?

Tuheshimiane tadhali mkuu sana πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.
 
hehehehehehehe Ngosha bana...

Mimi mbona nina full mkanda aisee..
 
hehehehehehehe Ngosha bana...

Mimi mbona nina full mkanda aisee..

Hmm...Mangi umedanganywa aisee.

Lakini..kwa nini tuandikie mate wakati wino upo?

Mwenyewe si yupo hapa?

Hebu mwulize kama hata keshawahi kuonana na mimi na kunichumu? Though ningeweza kumezwa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Kusema mimi nimepitia unanisingizia bure tu.
 
Wala sikujui hata zaidi ya kukuona humu tu
 
Ebu Valentina njoo ujibu hapa..

Huyu mbeba box hajawahi kweli though najua hili ngumu kujibika hapa basi nitakufata PM..
 
Ebu Valentina njoo ujibu hapa..

Huyu mbeba box hajawahi kweli though najua hili ngumu kujibika hapa basi nitakufata PM..

Mangi kwa nini lakini mi huwa hunitendei haki? Hivi nimewahi kukukosea nini? Teh teh teh....

'Mrembo' wetu tayari keshasema wazi kabisa kuwa hatujuani na sijawahi kupita.

Sasa kwa nini wewe hutaki kukubali?

Mangi bana....you need to start giving me my fair shake, man.
 
hehehehe kwani sasa mtakubali mbele ya hadhara.. Mbona yule demu superstar wa humu nae anaugomvi na wa sasa mpaka anamwita House girl... hehehehe JF bana
 
hehehehe kwani sasa mtakubali mbele ya hadhara.. Mbona yule demu superstar wa humu nae anaugomvi na wa sasa mpaka anamwita House girl... hehehehe JF bana

Hahahaaaa Mangi bana...you crack me up man.

Kwa hiyo sasa ina maana huyo supastaa naye nimeshamla na sasa anaona wivu kwa mwenzake hadi kuanza kumwita beki tatu?

JF kiboko aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…