Upepo wa Pesa
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 21,600
- 35,158
lengolitatimia mkuu!!! lazima tukutane.....wapi Kongoshowera wera
Njema, za kwako?Wakongwe...habari za siku mingi...
Hahahahaaaa kashikwa haswaa ee,mpe salam zakeRocky kawekwa kinyumba[emoji85]
Tafikisha akitoka honeymoonHahahahaaaa kashikwa haswaa ee,mpe salam zake
Mzima kabisa mekumiso[emoji1] [emoji1] shemeji...
Mzima wewe?
Mdada...watsappNjema, za kwako?
Hata mimi, miss youMzima kabisa mekumiso
Thanks for complimentsHata mimi, miss you
Nzuri Chocs..Njema, za kwako?
Aisee upo?Nzuri Chocs..
ameamua kutuita maana tumekuwa busy ile mbaya sijui ataweka lile tifu letu la mm na dady hahahahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaa[emoji1] [emoji1] shemeji...
Mzima wewe?
sisi makamanda wa jeshi la jf kama hujui muulize Nyani Ngabusamahani wadau kwani huu uzi ni wa wajeda? maana kila mtu ni kamanda sasa ndio najiuliza hapa ni makamanda wa jeshi gani,
kumbe Valentina naye kamanda,
mie bado sijawa mkongwe...............sijamsikia Paloma akitajwa hapa, sister, nduguzangu Passion Lady, charminglady, Lady doctor, mzee baba ngina Mtambuzi PakaJimmy, Filipo, The Boss , sister , measkron na daddy Watu8
mwambie mleta mada akuunganishe maana yeye ndo ameweka hapaningependa nijiunge na hilo jeshi,