Wakongwe Forum

Nipo mkuu, huwa nachungulia chungulia tu humu. Majukumu yamenibana sana kwa sasa!
unamajukumu ya kichama nini? au ndiyo mabasi ya mwendo kasi yashakupatia ajira?
 
Nipo mkuu, huwa nachungulia chungulia tu humu. Majukumu yamenibana sana kwa sasa!
PAmoja sana mkuu. Ila salamu kwa ndugu huwa haigombi. Japo amara moja kwa wiiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…