Ibrah
JF-Expert Member
- Mar 22, 2007
- 2,730
- 530
Wadau, nimezimisi sana sauti za wakongwe wa BBC hapa TZ miaka ya nyuma kidogo. Wakongwe hawa ni Abdalllah Majura na John Ngahyoma, sauti zao walipotuma habari BBC zilikuwa zinavutia sana tofauti na hawa wa siku hizi ambao ni kama vile wanajifunza kusoma (naamini wata-improve).
Mikataba yao ilikwisha, kitumbua kiliingia mchanga au ndo wamekuwa makungwi wa hawa chipukizi walipo sasa?
Mikataba yao ilikwisha, kitumbua kiliingia mchanga au ndo wamekuwa makungwi wa hawa chipukizi walipo sasa?