Wakongwe wa JF tukutane hapa

Wakongwe wa JF tukutane hapa

Nisingebadili username nna miaka 13 nadhani humu JF, nilisahau password id ya kwanza.
 
Nina siku kumi humu ila kama nisingesahau password id yangu ningekuwa na miaka 15
 
Dah miaka 2014 ndo naanza kuitumia jf nikiwa sijajisajiri kuwa na account mpaka Leo 2025
 
Class of 2014.
Forest Hill Drive inatoka, najiunga JF.
 
Back
Top Bottom